Kaa tayari kupokea goma la mwaka ijumaa hii, ni Harmonize ft Rayvanny
Eric Buyanza
June 12, 2024
Share :
Mashabiki wa muziki Tanzania wategemee kolabo ya mwaka Ijumaa hii.
Hii ni baada ya msanii Harmonize kuweka hilo wazi kupitia InstaStory kwamba Ijumaa anatarajia kuachia ngoma mpya akimshirikisha Vani Boy @rayvanny