Kajala amuomba radhi P Funk Majani aweka wazi anampenda
Joyce Shedrack
April 18, 2024
Share :
Msanii wa bongomovie nchini Kajala siku ya jana alimuomba msamaha mzazi mwenzie ambaye ni Baba mzazi wa Paula Producer P Funk Majani kwenye "Baby Shower" ya Mtoto wa Paula na Marioo.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.