Kajala awavaa wanaompangia maisha "Maisha ni yangu mazishi ndiyo yenu"
Sisti Herman
June 16, 2024
Share :
Msanii wa bongomovie Kajala Masanja amewatolea uvivu watu wanaofatilia maisha yake na kutoa maoni jinsi wanavyotaka yeye aishi akisema anaishi anavyotaka kwa sababu maisha ni yake mazishi ndiyo yenu.
Kajala ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ame-post picha yake iliyo ambatana na video na kuandika ujumbe kuwa yeye hata umuharibie bado ataishi anavyo taka yeye maisha ni yake mazishi ya kwao wanao mharibia.
“Mimi hata mniharibia jina aje naishi ninavyotaka maisha ni yangu mazishi ndiyo yenu” Kajala.