pmbet

Kakolanya afungiwa mechi 3

Sisti Herman

December 15, 2023
Share :

Golikipa wa Singida Fountain Gate Beno Kakolanya amefungiwa kutocheza michezo 3 na faini ya Shilingi Milioni 1 na bodi ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi TPLB kwa makosa ya kujaribu kumshambuliaji kwa ngumi na kutoa Lugha ya matusi kwa kiongozi wa Coastal Union Juma Kindo.

Kakolanya alifanya makosa hayo baada ya kikosi cha Singida FG kuvamia mazoezi ya Coastal Union na kusababisha vurugu siku moja kabla ya mchezo wa Ligi kuu mchezo dhidi ya Coastal Union. Coastal Union walipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 kwenye uwanja wa Liti Mkoani Singida.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet