pmbet

Kakolanya Yanga ni suala la muda tu

Eric Buyanza

May 16, 2024
Share :

Tetesi zinadokeza kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye mazungumzo ya awali yenye kuleta matumaini kwa ajili ya kuunasa wino wa mlinda mlango wa Singida Fountain Gate Beno Kakolanya.
 

Kakolanya aliyewahi kukipiga na Yanga mwaka 2016 mpaka 2019 anamaliza mkataba wake na Singida mwishoni mwa msimu huu na hivyo kuwa mchezaji huru.
 

Yanga inamtaka Kakolanya kwa udi na uvumba kwa kuwa iko mbioni kuachana na Metacha Mnata.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet