pmbet

"Kama mlivyosikia matikiti yamenidondokea" - Diamond

Eric Buyanza

February 23, 2024
Share :

Muda mchache ukiwa umepita tangu msanii @officialzuchu kutangaza kuwa hayuko tena kwenye mahusiano na bosi wake @diamondplatnumz, Bosi huyo ameibukia Insta na kuandika haya.......
 

"Basi bwana wadau, ndio kama Mlivyosikia Matikiti Yamenidondokea….hivyo nahitaji sana Huruma na Ukaribu wenu kipindi hiki cha Ujane wangu, ili walau kupata nguvu na faraja kwenye Kipindi Hiki Kigumu"
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet