pmbet

Kama tuliwapokea madaktari kwanini isiwe Al - Hilal

Eric Buyanza

March 23, 2024
Share :

Nakumbuka Juni mwaka jana, Tanzania ilipokea kiasi cha wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia, Khartoum nchini Sudan, baada ya kuomba kuja kuendelea na masomo ya mwaka wa mwisho kwa vitendo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mwaka huu TFF imetangaza kuipokea timu ya mpira wa miguu kutoka hukohuko Sudani kwasababu zilezile za ukosefu wa usalama nchini mwao, ambapo kuna mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.

Kama kuwapokea wanafunzi wa udaktari hakukuwa na maulizo yoyote kuhusu ujio wao. “Kwanini sasahivi kuna watu wanalalamika kuhusu ujio wa timu hiyo kucheza ligi ya Tanzania?” amehoji Rais wa TFF, Wallace Karia kutokana na baadhi ya watu kutopendezwa na timu hiyo kuja nchini wakidai ni kuidhalilisha ligi yetu.

NIPASHE 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet