pmbet

"Kama unapenda soka, hili ndo chaguo lako la kocha wa msimu" - Mzee wa Jambia

Eric Buyanza

June 25, 2025
Share :

REVOLUTIONIST @davidsfadlu

Kama unapenda Football, hili ndo chaguo lako la Kocha wa Msimu haijalishi itikadi yako.
 

Unamfunga Fadlu Kwa Makosa Binafsi ya wachezaji au Makosa ya Kibinadamu ya Waamuzi sio Kumzidi Kwenye Mbinu.✅
 

Msimu uliopita Simba Sports alimaaliza na Points 69 Kwenye nafasi ya 3

Muda huu so far Simba Sports ana Points 9 zaidi ya Msimu uliopita,na Kesho anaweza Kumaliza na Points nyingi zaidi 81 Kuliko Msimu wwt kwenye hii misimu 4 na Kuwa Bingwa wa Ligi.
 

Na Kama Fadlu Davids akipata Sajili zote ambazo nimeziona,ataondoka Simba Kama Kocha bora Kuwahi Kutokea.

Nitakuwepo.
 

Ameandika mchambuzi wa soka @mzeewajambia 
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet