Kane anaongoza mbio za nkuchukua Ballon D'or kuliko Mbappe
Sisti Herman
April 20, 2026
Share :

Baada ya Real Madrid kutolewa kwenye robo fainali ya UEFA Champions League, Kylian Mbappé haonekani tena kuwa mshindani wa juu zaidi wa tuzo ijayo ya Ballon d’Or, huku Harry Kane sasa akiwa na uwezekano wa 29% kwenye Polymarket kushinda tuzo hiyo.
Je, unadhani Harry Kane anafaa kuwa mshindani mkuu kwa sasa kushinda Ballon d'Or 2026?





