Kanye amshirikisha mwanae wa miaka 10 kwenye Album
Sisti Herman
December 14, 2023
Share :
Mtoto wa rapa Kanye West "YE" na Kim Kardashian, ‘North West’ ametambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa muziki baada ya kushiriki moja kati ya nyimbo zilipo kwenye Album mpya ya "YE".
Mtoto Huyo mwenye umri wa miaka 10, amepiga verse yake ya kwanza kwenye wimbo wa baba yake Kanye West Ft Ty Dolla Sign, ambao utapatikana kwenye Album yake mpya ya Vultures itakayotoka Ijumaa hii.