Kwenye picha ni muonekano wa ubunifu wa gari jipya la rapa kutoka nchini Marekani Kanye West liitwalo 'Yeezy Cyber Truck'.Toa neno moja kwa gari hilo ambalo lina thamani ya Tsh Bilioni 3.1.