pmbet

Kanye West aendelea kufungiwa milango kisa Wayahudi

Sisti Herman

April 20, 2026
Share :

 

Ombi la Kanye West kutumbuiza katika moja ya matukio ya klabu ya Uswisi 'FC Basel 1893' limekataliwa. Inadaiwa kuwa klabu hiyo ilisema walilizingatia ombi hilo lakini hawakuendelea nalo kwa sababu halikuendana na “maadili yao”.

Lakini Pia Hivi karibuni Kanye West aliahirisha tamasha lake nchini Ufaransa baada ya kuondolewa kwenye orodha ya wasanii Headliners Wa Tamasha La 'Wireless' Huko London, Kufuatia Kauli Zake Tata Dhidi Ya Wayahudi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet