pmbet

Kanye West astua watu, aweka meno ya Bilioni 2

Eric Buyanza

January 18, 2024
Share :

Kanye West Rapa wa Marekani asiyeishiwa na vituko kila iitwayo leo, amekuwa gumzo tena kwenye mitandao ya kijamii duniani baada ya kuonekana akiwa amevaa meno ya ‘Titanium Grill’ yenye thamani ya (dola 850,000 USD) sawa na shilingi bilioni 2.1 za kibongo.

 

Rapa huyo kupitia ukurasa wake wa instagram ame-share picha ikimuonyesha akiwa na meno hayo na kisha pembeni ya picha hiyo akaweka picha za muigizaji James Bond Villain akiwa na meno ya hivyo aliyoyatumia kwenye movie za 'The Spy Who Loved Me' ya mwaka 1977 na 'Moonraker' ya mwaka 1979.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet