Kanye West atangaza kuingiza Bil. 7 ndani ya siku 2
Sisti Herman
January 16, 2025
Share :
Msanii wa Hip-Hop nchini Marekani Kanye West kupitia instagram yake ameweka wazi kuingiza dola milioni 3 (zaidi ya Bilioni 7) katika mauzo ya mfululizo wa bidhaa zake za Yzy ndani ya siku 2 tu..
Kama mtu mashuhuri katika muziki na mitindo, hii ni moja tu ya mara nyingi ambazo West alionyesha uwezo wake wa kuleta mafanikio makubwa ya kibiashara hata mwanzoni mwa mwaka.