pmbet

"Kanzia leo hii mimi na Nasibu (Diamond) hatuko pamoja" - Zuchu

Eric Buyanza

February 23, 2024
Share :

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zuchu amendika haya;


"Helo fan-milly. I Had to post this to clear my conscience.kuanzia leo hii mimi na nasibu (diamond) hatuko pamoja .I Know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya.mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu . .AS For him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best .TUMEISHI Vizuri lakini nadhani hii sio rizki .MWAKA Huu nimejifunza kusema hapana kwa kila kitu kisichonipa furaha ama baada ya kusema haya naona kabisa naenda kuanza ukurasa mpya wenye maisha yaliyojaa furaha, uhuru na amani. As for now kazi iendelee and i am single"

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet