Kassali, Diarra wakabana koo cleansheet Ligi kuu bara
Eric Buyanza
October 15, 2026
Share :
Makipa Djigui Diarra wa Yanga na Tanja Kasali wa Simba wamekabana koo katika eneo la kuruhusu mabao ‘Cleansheet’ ndani ya msimu huu.
Makipa hao kila mmoja ana cleansheet nne, huku Mussa Mbissa wa Dodoma Jiji, Christopher Nyakanda wa Polisi Tanzania, Toba Kutisha wa Mbeya City na Seleman Ibrahim wakiwa na cleansheet tatu kila mmoja.






