pmbet

Kassali kuukosa mchezo wa Simba dhidi ya Pamba Jiji.

Joyce Shedrack

August 17, 2026
Share :

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuhusu jeraha alilopata golikipa wao Namba Moja Tanja Kassali kupata majeraha kwenye mchezo wa jana wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar.

No photo description available.

Ahmed Ally amewatoa hofu mashabiki wa Simba akiweka wazi kuwa Kassali hakupata jeraha kubwa hivyo atakosekana kwenye mchezo mmoja pekee akitarajia kurejea uwanjani siku si nyingi.

 

“Baada ya uchunguzi wa kitabibu juu ya jeraha la Kassali majibu ni kua Kassali hajaumia sana na anahitaji matibabu ya kawaida ambayo tayari anaendelea kupata”

“Na atakosa mechi moja tu kwaajili ya kukaa sawa na kurejea kundini kuipigania Simba”Amesema Ahmed Ally.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet