pmbet

Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

Joyce Shedrack

March 18, 2026
Share :

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka la Senegal Abdoulaye Sow ameweka wazi msimamo wa Taifa lake la Senegal kuhusiana na maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya CAF ya kuwapa ubingwa wa AFCON 2025 Timu ya taifa ya Morocco.

AFCON 2025: "The trophy will not leave the country," Senegal responds to  CAF! - Foot Africa

“Kombe halitaondoka nchini! Shirikisho la soka Afrika limeoza, na majibu kutoka duniani kote baada ya uamuzi huu yanaonyesha hasira kubwa. Mapambano bado hayajaisha". 

 

"Nataka kuwahakikishia watu wote wa Senegal. Senegal iko upande wa haki na ushindi.”Amesema Sow.

 

Taarifa kutoka Nchini humo zinaeleza kuwa Senegal wamepanga kuongeza ulinzi kwenye kombe hil

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet