pmbet

Kayoko kupewa dabi ya kariakoo

Sisti Herman

April 18, 2024
Share :

Ikiwa zimesalia siku 2 tu ili kushuhudiwa kwa moja kati ya dabi kubwa barani Afrika, Yanga dhidi ya Simba, taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinadokeza kuwa huenda kamati ya waamuzi ikamteua mwamuzi Ramdhan Kayoko kusimama katikati ya dimba na kuongoza jopo la waamuzi wa mchezo huo.

Simba na Yanga zitashuka dimba la Mkapa siku ya jumamosi kucheza mchezo wa raundi ya pili ya ligi kuu Tanzania bara kuanzia saa 11 jioni.

Je, yapi maoni yako ikiwa Kayoko atateuliwa kuongoza mchezo huo?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet