Kelvin John ajiunga kambini kujiwinda na AFCON.
Joyce Shedrack
December 12, 2025
Share :
Mshambuliaji wa kikosi cha Timu ya Taifa @taifastars_ @kelvin.p.john amewasili kambini Misri kwa ajili ya maandalizi ya Fainali za AFCON 2025, Morocco.

Nyota huyo anayekipiga nchini Denmark katika klabu ya Aalborg ya nchini humo amejiunga na kikosi cha Stars jana usiku akitokea Denmark.





