pmbet

Kenya kuingiza bidhaa Ulaya bila tozo

Sisti Herman

December 19, 2023
Share :

Kenya na Umoja wa Ulaya zimesaini mkataba wa kibiashara utakaoruhusu Taifa hilo la Afrika Mashariki kusafirisha bidhaa bila ushuru katika soko la Umoja wa Ulaya.

 

Baraza la Umoja wa Ulaya liliidhinisha makubaliano hayo ya Kibiashara wiki iliyopita, lakini bado yanahitaji kuidhinishwa na Bunge la Kenya na Bunge la Ulaya kabla ya kuanza kutumika.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet