pmbet

Kesi inayomkabili Marioo yasogezwa mbele hadi May 6

Eric Buyanza

March 20, 2024
Share :

Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya, Arusha imeahirisha hadi Mei 6, mwaka huu,

shauri linalomkabili msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Mwanga maarufu kama 'Marioo', na Meneja wake Sweetbert Mwinula, wanaodaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba.
 

Marioo na Meneja wake Sweetbert walifunguliwa shauri, wakidaiwa jumla ya Sh. 550,000,000 kwa kuvunja mkataba wa kutumbuiza katika hafla ya Mr & Miss Vyuo Vikuu Kanda ya Kaskazini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet