Khadija Kopa apagawa na 'show' ya Zuchu
Joyce Shedrack
April 17, 2024
Share :
Mama mzazi wa msanii wa bongofleva Zuchu ambaye pia ni mwanamziki wa taarabu nchini Khadija Kopa siku ya jana alishindwa kujizuia kupanda jukwaani kucheza wakati binti yake akifanya show kwenye mkesha wa mwenge wa uhuru Pangani Tanga.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.