pmbet

Kibabage apewa mitatu tena Yanga

Sisti Herman

April 28, 2024
Share :

Klabu ya Yanga baada ya kuridhishwa na kiwango chake uwanjani, imefikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa miaka 3 na beki wao wa kushoto Nickson Kibabage ambaye walimchukua kwa mkopo kutokea Singida Fountain Gate mwanzoni mwa msimu.

Mkataba huo unathamani ya milioni 300 ikiwa ni malipo ya milioni 100 katika kila mwaka wa mkataba.

Tayari mafikiano yamefanyika na mkataba ulishasainiwa kilichosalia ni utekelezwaji wa picha na utambulisho kama kutakuwa na ulazima.

Kibabage alikuwa akiwindwa pia klabu ya Simba baada ya kusikia kuwa alikuwa akicheza Yanga kwa Mkopo kutokea Singida.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet