Kiberenge wa AS Vita atua Jangwani
Sisti Herman
January 16, 2025
Share :
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi winga wa kulia Jonathan Ikangalombo kutoka As vital ya nchini DR Congo kuwa mchezaji wao kwa mkataba wa miaka 2.
Jonathan Ikangalombo anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa Yanga baada ya beki wa zamani wa Simba Israel Patrick Mwenda ambaye ametokea Singida Black Stars.