pmbet

Kifaa cha kubaini harufu mbaya vyumbani kuanza kutumika kwenye derby ya Kariakoo.

Joyce Shedrack

October 5, 2026
Share :

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas amesema Vifaa vimenunuliwa vya kutosha ili kuhakikisha Kila Kitu kinakwenda vizuri ambapo wameleta Gas Ditector kubaini hafuru mbaya kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ili kubaini malalamiko ambayo yamekua yakilalamikiwa na vilabu kwa misimu mingi iliyopita.

 

Ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kwenye ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

 

Amesema kiwango cha oksijeni kinachotakiwa katika vyumba hivyo ni asilimia 20.9, hivyo kifaa hicho kitaonyesha iwapo kiwango kitakuwa chini au juu ya kiwango hicho, huku kikitoa tahadhari kwa njia ya alarm endapo kitabaini uwepo wa hewa nyingine isiyofaa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet