pmbet

Kigogo ang'olewa kwenye uongozi Yanga

Sisti Herman

December 28, 2023
Share :

Uongozi wa Yanga umemsitishia ajira aliyekuwa Mkurugenzi wao wa mambo ya wanachama na mashabiki, Haji Mfikirwa kuanzia jana Desemba 27 kufuatia kile kilichoelezwa kutofautiana na uongozi wa klabu hiyo juu ya utekelezaji wa majukumu yake.

 

Mfikirwa ambaye awali alikuwa kwenye idara za fedha za klabu hiyo pia aliwahi kukaimu nafasi ya katibu mkuu nafasi yake sasa inatafutiwa mrithi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet