Kiingilio kuiona Mamelodi na Yanga ni 3000 Sauzi
Sisti Herman
April 1, 2024
Share :
Tiketi za mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Mamelodi watakaoikaribisha Yanga zimeanza kuuzwa nchini Afrika kusini ambapo kiingilio cha chini kinaanzia Rand 20 (sawa na Tsh 3000).
Mchezo huo utachezwa kwenye dimba la Loftus Verified jijini Pretoria nchini Afrika kusini siku ya ijumaa.