Kijue kiasi wanachotaka Everton ili kumuachia Onana kwa Arsenal
Eric Buyanza
January 12, 2024
Share :
Baada ya Arsenal kuonesha nia, Everton wanataka pauni milioni 60 kwa kiungo wao wa kati wa kimataifa wa Ubelgiji Amadou Onana mwenye miaka 22.
Hata hivyo inaelezwa Arsenal italazimika kuuza mchezaji mwingine kwanza ili kuweza kumnunua.