pmbet

Kikombe hiki kimeshindwa kumuepuka Babacar Sarr.

Joyce Shedrack

July 10, 2024
Share :

Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kiungo mkabaji Babacar Sarr.

Babacar alijiunga na Simba katika dirisha la usajili la mwezi Januari akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na timu ya US Monastir ya Tunisia.

Kiungo huyo raia wa Senegal amehudumu kwenye kikosi hicho kwa muda wa miezi sita pekee

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet