pmbet

Kikongwe wa miaka 84 ajisajili Yanga

Sisti Herman

February 2, 2024
Share :

Mwanachama mkongwe Bi Lydia Mpanju (84), ni miongoni mwa mashabiki waliojitokeza jana jioni kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera na kuhuisha uaanachama wake.

Bi Lydia aliiambia idara ya habari ya timu hiyo kuwa ni Furaha kubwa kwake kuwa mwanachama hai wa klabu ya Yanga kwani ndio kitu kinachompa furaha duniani.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo Ibra Samuel aliwahamasisha mashabiki wengine wa Yanga kuiga mfano wa Bi Lydia kwa kujiandikisha kuwa Wanachama wa Klabu hiyo kwani kufanya hivyo ndio msingi wa kuiimarisha zaidi Timu kiuchumi na kuweza kuwa tishio Barani Afrika.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet