Kikosi cha Hispania hakina mchezaji hata mmoja wa Real Madrid
Eric Buyanza
May 27, 2026
Share :
Kwa mara ya kwanza katika HISTORIA, hakuna mchezaji hata mmoja wa Real Madrid ndani ya kikosi cha timu ya taifa ya Hispania itakayoshiriki kwenye Kombe la Dunia 2026.
❌ Dean Huijsen
❌ Raúl Asencio
❌ Dani Carvajal
❌ Álvaro Carreras
❌ Fran García
❌ Dani Ceballos
❌ Gonzalo García






