pmbet

Kim Kardashian aliwahi kuwa mpenzi wa muda mfupi wa Ronaldo

Sisti Herman

March 12, 2026
Share :

 

Kim Kardashian aliwahi kusema kwamba aliwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mfupi na nyota wa soka Cristiano Ronaldo. Alieleza kuwa katika kipindi hicho aligundua kuwa Ronaldo ana sifa nyingi nzuri na kwamba kwa maoni yake anaonyesha mfano wa mwanaume anayepaswa kuwa na tabia nzuri, nidhamu na kujituma.

Baada ya kauli hiyo kusambaa mtandaoni, baadhi ya watu walitoa maoni tofauti. Mmoja wa watumiaji wa mitandao ya kijamii alitoa utani akisema kwamba Kim Kardashian amewahi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wengi maarufu duniani. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet