pmbet

Kinda wa Arsenal aweka rekodi mpya EPL

Sisti Herman

March 15, 2026
Share :

 

Kinda wa Arsenal Max Dowman ameweka rekodi mpya ya kuwa mfungaji mdogo zaidi katika historia ya Premier League akiwa na umri wa miaka 16 na siku 74 tu, akimpita James Vaughan ambaye hapo awali alishikilia rekodi hiyo akiwa na miaka 16 na siku 270.

Aliingia akitokea benchi na kwanza kutoa krosi iliyoongoza kwa bao la kwanza, kabla ya kufunga bao hilo mwenyewe dakika ya 97.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet