Kinda wa Barca asimulia alivyoombwa namba an mrembo na kushindwa kumjibu
Sisti Herman
March 25, 2024
Share :
Akiwa kwenye mahojiano ya ana kwa ana, kinda wa Barcelona mwenye miaka 16 Lamine Yamal aliulizwa na mwanahabari kuhusu jambo la kushangaza liliwahi kumtokea akiwa na amshabiki.
Lamine kufuatia swali hilo akajibu "Nilikutana na mdada mrembo kwenye lifti akaniomba kupiga naye picha nikapiga, kisha akaniomba namba yangu ya simu nikashindwa nimjibu vipi na tulikuwa kwenye lifti"
Lamine ana umri wa miaka 16 tu, pia anacheza timu ya taifa ya Hispania.