pmbet

Kinda wa Hispania aendelea na 'Homework' akiwa Euro

Sisti Herman

June 19, 2024
Share :

Hizi ni picha za kinda na nyota wa timu ya Taifa ya Hispania Lamine Yamal baada ya mchezo wake wa kombe la mataifa Ulaya #Euro2024 dhidi ya Croatia akiwa chumbani kwake anasoma.

Kabla ya mashindano Yamal alinukuliwa akisema kuwa wakati wa mashindano atakuwa akiendelea na 'Homwork' alipewa na mwalimu wake.

Baada ya mchezo wao wa kwanza wa kundi B, Hispania wapo nafasi ya kwanza wakiwa na alama 3 sawa na Italia, wao wakizidi kwa idadi ya mabao baada ya kuwabamiza Croatia 3-0.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet