Kinda wa Mali kwenye rada za Simba
Sisti Herman
March 20, 2024
Share :
Klabu ya Simba iko mawindoni kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa AS Real Bamaco ya Mali Cheickna Diakite mwenye umri wa miaka 19.
Kinda huyo ambaye pia anacheza timu za taifa za vijana za Mali aliwahi kuja Tanzania akiwa na Real Bamaco na kuwasumbua sana mabeki wa Yanga walipokutana kwenye mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika.
Je mnyama atampata Kinda huyo?