Kinda wa miaka 15 Man United awa MVP wa ligi ua under 18 Uingereza
Sisti Herman
May 13, 2026
Share :

Akiwa na miaka 15 pekee, kinda wa Manchester United JJ Gabriel ametangazwa kuwa 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐰𝐚 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐞𝐫 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 U18 msimu wa 2025/26.
Nyota huyo mdogo ameifungia timu ya academy mabao 23 na kuwatesa mabeki msimu mzima kwa kiwango chake cha ajabu.
Wengi wanaamini hii ni mwanzo tu wa safari ya kipaji kikubwa sana ndani ya Manchester United.





