pmbet

Kinda wa River Plate ya Argentina anukia kuhamia Real Madrid

Eric Buyanza

July 31, 2024
Share :

Real Madrid wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kumnunua kiungo mshambuliaji wa River Plate, kinda mwenye umri wa miaka 16, Franco Mastantuono, ingawa klabu yake haipendezwi na mchezaji huyo kuondoka Argentina.

Real Madrid wamempa jukumu mkurugenzi wao wa kandanda na mchezaji wa zamani wa Real Madrid na River Plate, Santiago Solari kufanya mazungumzo na klabu hiyo ya Argentina na kusaini mkataba huo kwa niaba yao haraka iwezekanavyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet