Kinda wa Tanzania apandishwa timu ya wakubwa Italia
Sisti Herman
August 2, 2026
Share :

Mshambuliaji Iachini Giulio mwenye asili ya Tanzania na Italy amepandishwa timu ya wakubwa ya Fc Perugia inayoshiriki Serie C nchini Italy baada ya kiwango kizuri alicho kionesha akiwa timu za vijana za klabu hio
Msimu uliopita Giulio aliisaidia timu ya vijana ya klabu hio kubeba ubingwa wa Kombe la vijana chini ya miaka 17 Chini Italy pamoja na kupata nafasi ya kufanyiwa majaribio katika Timu ya Taifa ya Tanzania Serengeti Boys.





