pmbet

Kinda wa Tanzania, Barka Seif ajiunga na Academy ya Barcelona 'La Masia'

Sisti Herman

June 8, 2026
Share :

 

Kinda wa Kitanzania Barka seif mpanda amejiunga rasmi na academy ya klabu ya FC Barcelona ya nchini Hispania akitokea FC Damm ya nchini humo

Kiwango bora alchokionesha akiwa FC Damm ambapo kwa msimu uliopita aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 41 katika michezo 28 ya ligi za vijana Catalunya kimewapelekea Barcelona kuona uwezo wake na kumsajili katika academy yao

Anaweka rekodi ya kua mtanzania wakwanza kujiunga na academy hio ya klabu kubwa duniani iliozalisha mastaa wengi wa soka.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet