Kinda wa Tanzania Barka Seif apiga Hat Trick ya kwanza La Masia
Sisti Herman
September 13, 2026
Share :

Kinda wa Kitanzania Baraka Seif anaekipiga academy ya Klabu ya Fc Barcelona ( la masia) jana amefunga magoli Matatu na kutoa pass moja katika mashindano ya Vigril legacy Trophy mashindano ambao yameanzishwa na kusimamiwa na beki wa Liverpool Vigril Van djik
Katika mashindano hayo yanayoendelea Barka Jana alfanikiwa kufuga goli moja Dhidi ya Chelsea na Katika mchezo mwingine alifunga magoli mawili na kutoa assist Moja dhidi ya Willem II ya Uholanzi na kumalza vinara katika Kundi A ambalo linahusisha timu kutoka academy za chelsea, Willem II , Barcelona na Galatasaray.





