Kinda wa Wolves awachanganya mabosi wa Liverpool
Eric Buyanza
February 14, 2026
Share :
Liverpool tayari wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kati wa Wolves Mateus Mané.
Hata hivyo kinda huyo mwenye umri wa miaka 18 pia anawindwa na vilabu vikubwa vya Ligi kuu ya Uingereza ikiwemo Manchester United.
Mateus Mané tayari amecheza mechi 15 za Premier League msimu huu.






