King James kucheza na mtoto wake timu moja
Sisti Herman
June 28, 2024
Share :
Klabu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers imethibitisha kumsajili mchezaji Bronny James ambaye ni mtoto wa mchezaji wao nyota LeBron James kutoka USC.
Bronny mwenye umri wa miaka 19 anaenda kucheza timu moja na baba yake mwenye umri wa miaka 39.