pmbet

Kingsley Coman na historia ya kushinda mataji mawili ya ligi msimu mmoja.

Joyce Shedrack

June 3, 2026
Share :

Hivi unajua kuwa mshambuliaji nyota wa Ufaransa, Kingsley Coman, alicheza soka la kulipwa kwa miaka minane mfululizo na kushinda ubingwa wa ligi kila msimu, lakini hakuwa amewahi kupoteza hata mechi moja ya fainali ya Kombe la Dunia aliyocheza?
Bayern Munich hero Kingsley Coman has won a trophy every 9.65 games and  NEVER failed to win the league

Tukio la kushangaza zaidi katika historia yake lilitokea msimu wa 2015/2016. Katika msimu huo mmoja, Coman alifanikiwa kutwaa mataji mawili tofauti ya ligi kuu barani Ulaya (Ligi ya Serie A nchini Italia akiwa na Juventus, na Ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani akiwa na Bayern Munich). 

 

Hii ilitokea kwa sababu alicheza mechi za ufunguzi za Juventus kabla ya kusajiliwa kwa mkopo kwenda Bayern Munich kabla ya soko kufungwa, na timu zote mbili zikatwaa ubingwa mwishoni mwa msimu!
 

Je, unamfahamu mchezaji mwingine yeyote wa soka ambaye ana 'gundu' au ana 'nyota ya kijani' ya kubeba mataji kila timu anayoenda?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet