pmbet

Kiongozi wa wanajihadi Oumar Kéréna, auawa kwa 'Droni' ya jeshi

Eric Buyanza

June 15, 2026
Share :

Jeshi nchini Mali limedai kuhusika katika kumuangamiza kiongozi wa wanajihadi aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu anayetambuliwa kwa jina la Oumar Kéréna.
 

Jeshi hilo limesema lilimuua kiongozi huyo katika shambulio la ndege isiyo na rubani mnamo Juni 3 karibu na mji wa Djenné.
 

Oumar Kéréna anatajwa kuwa kamanda muhimu wa Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), kundi linalodaiwa kuwa na uhusiano na Al Qaeda.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet