pmbet

Kipa mpya Man Utd aanza na rekodi nzuri EPL

Sisti Herman

February 4, 2026
Share :

 

Manchester United imekuwa na msimu imara sana huku Senne Lammens akiwa ndiye mlinda mlango wao. Katika michezo 18 ya Ligi Kuu ya Uingereza ambayo kipa huyo amecheza msimu huu, Mashetani Wekundu wamepoteza michezo miwili pekee.

Uwepo wa Lammens umathibitika kuwa nguzo muhimu katika uimara wa safu ya ulinzi ya United, huku akiisaidia timu hiyo kuendelea kuwa na matokeo thabiti katika harakati zao za kuwania nafasi za juu.

Kipa huyo kijana raia wa Ubelgiji ambaye amekuwa akionyesha kiwango kikubwa tangu alipoanza kupewa nafasi kikosini huku akiwa na Takwimu nzuri (kupoteza mechi 2 tu kati ya 18) zinaonyesha kuwa timu ina hali ya kujiamini zaidi anapokuwa uwanjani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet