pmbet

Kisa kuitetea Israel, wataka Biden apigwe chini kugombea tena Urais

Eric Buyanza

January 25, 2024
Share :

Huko nchini Marekani watetezi wa haki za binadamu wanataka Rais wa nchi hiyo, Joe Biden, asiteuliwe tena kuwania kiti cha urais kwa msingi ya kuunga mkono Israeli katika mapigano yanayoendelea kati yake na Hamas.

Wanaharakati hao sasa wanataka kura ya mchujo wa mgombea urais wa Democrat utawaliwe na mada ya “sitisha mapigano”.

Wanadai kuwa Biden hafai kuteuliwa kuwania kiti hicho kulingana na jinsi anavyoshughulikia mzozo kati ya Israeli na Hamas.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet