Kisa majeraha, Ronaldo kuwakosa Messi na Suarez leo
Sisti Herman
February 1, 2024
Share :
Klabu ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha na nyota wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya Mchezo wa The Last Dance utakaochezwa leo dhidi ya Inter Miami CF huko nchini Saudi Arabia. Hii ni baada ya Jeraha lake kuonekana bado halijapona kikamilifu kama ilivyoarifiwa awali.