pmbet

Kisa mashabiki kuvamia uwanjani hovyo, Uefa kuongeza Ulinzi kwa Ronaldo

Sisti Herman

June 23, 2024
Share :

Shirikisho la Soka nchini Ureno limeungana na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya nchi hiyo Roberto Martinez kuoliomba shirikisho la soka Ulaya UEFA kuongeza ulinzi katika viwanja vya EURO 2024 ili kuepuka uvamizi wa mara kwa mara wa mashabiki uwanjani.

Hii ni baada ya jana mashabiki wapatao 6 kuvamia uwanja na kujaribu kupiga selfie na Cristiano Ronaldo kwenye mchezo kati ya Ureno na Uturuki, Ureno wakishinda 3-0.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet